-->

Header Ads

EWURA WATANGAZA NEEMA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI



Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA Leo wametangaza kushuka kwa bei mpya za mafuta ya vyombo vya moto ikiwemo magari na mashine. Bei hizi elekezi zinaanza kutumika rasmi July 1, 2017.

Bei za mafuta kwa nchi nzima kuanzia kesho Jumamosi July 1, 2017 HIZI HAPA CHINI.

No comments

Powered by Blogger.