VIDEO: MANENO YA HAMPHREY POLEPOLE KUHUSU LOWASSA NA UCHOCHEZI
Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema Humphrey Polepole kuwa Serikali imchukulie hatua kiongozi aliyesikika hivi Karibuni akifitinisha kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu na Serikali.
Juzi aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema Edward Lowassa alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa Kilichodaiwa kuwa ni Maneno ya kichochezi aliyoyatoa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu kwa Serikali.

No comments