-->

Header Ads

SABABU ZA PROF. LIPUMBA KUMUITA MAALIM SEIF 'SULTAN'



Mwenyekiti anayetambulika na Msajili wa vyama vya siasa nchi Professa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho ni Sultani ndani chama hicho.


Sultani ni aina ya uongozi inayofanana na Ufalme asili yake Oman na kwamba utawala wa kisultani hauzingatii demokrasia.

 Professa Lipumba amesema hayo elo asubuhi alipokuwa kwenye mahojiano na Clouds Tv (kipindi cha Clouds 360) amesema kuwa alitengua barua yake ya kujiuzulu kabla barua ya kujiuzulu aliyoindika kujadiliwa.


 Professa Lipumba alidai  kuwa barua hiyo ilipokelwa na Maalimu Seif na kujibiwa kuwa asubiri kamati kuu ya chma kujadili barua hiyo ili kuepusha vurugu ndani ya chama


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.