Huyu Hapa Mchezaji Bora wa Msimu Manchester United
Kiungo Mhispania Ander Herrera ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu huu. Herrera ameshinda tuzo hiyo mbele ya Antonio Valencia na Zlatan Ibrahimovic ambao walikuwa wanawania tuzo hiyo pia. Tuzo ya mchezaji bora wa msimu hupigiwa kura na mashabiki wa Manchester United duniani kote.
Antonio Valencia ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu katika kura zilizopigwa nawachezaji wenzake wa Manchester United.
Katika usiku wa tuzo hizo, Henrik Mkhitaryan ameshinda tuzo ya goli bora la msimu kwa "Scorpion Kick" alilofunga dhidi ya Sunderland kwenye mechi iliyochezwa pale Old Trafford Desemba, mwaka jana.
Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

Hili hapa goli lililompa Mkhitaryan tuzo ya goli bora.
"I was impressed as well!" 😂#MUFCPOTY Goal of the Season winner, @HenrikhMkh... pic.twitter.com/HpqwIC7L47— Manchester United (@ManUtd) May 18, 2017
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKAReaction from the Sir Matt Busby Player of the Year - the one and only @AnderHerrera! 🏆 #MUFCPOTY pic.twitter.com/k2k0KMMEs3— Manchester United (@ManUtd) May 18, 2017
Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments