Angalia Tottenham Walivyoiua Leicester City
Harry Kane alifunga mabao manne usiku wa jana na kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kiatu cha dhahabu msimu huu Tottenham ilipowakandamiza mabingwa wa msimu uliopita, Leicester City kwa jumla ya mabao 6-1.
Kane anaongoza kwa ufungaji akiwa na mabao 26, Romelu Lukaku katika nafasi ya pili ana mabao 24 huku Alexis Sanchez akiwa na mabao 23 katika nafasi ya tatu.
Angalia magoli yote hapa chini
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA
Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments