-->

Header Ads

HIKI NDICHO MAPACHA WALIOUNGANA WANAKITAMANI KATIKA NDOA

Mdau wa akisitv bila shaka yapo mengi ya kustajabisha na kushangaza lakini kiwa ni mipango ya mungu.

Maria na Consolata ni wasichana mapacha waliozaliwa wakiwa wameshikana sasa wamefikia kidato cha sita wakiwa katika hatua za mwisho kufanya mitihani yao ya kuhitimu.

Wasichana hawa ambao kwa sasa wana miaka 19 wanasoma katika shule ya sekondari Udzungwa mkoani Iringa kusini Magharibi mwa Tanzania.

Wasichana hao wamesema kuwa  wanatamani sana endapo wataolewa nakuokewa na mwanaume mmoja mmoja.

No comments

Powered by Blogger.