-->

Header Ads

BREAKING NEWS: BASI LA ALLYS LAGONGANA NA COSTA SHINYANGA ASUBUHI HII

Taarifa zilizotufikia hivi sasa ambazo hata hivyo bado hazijathibitishwa na vyombo vyenye dhamana isipokuwa mashuhuda wa ajali hiyo zinaarifu kuwa kumetokea ajali mkoani shinyanga.
Taarifa hiyo hii hapa..
AJALI MBAYA IMETOKEA ASUBUHI HII SHINYANGA ENEO LA KIZUMBI MBUYUNI KWENYE KONA....BASI LA ALLYS TOKA MWANZA LIMEGONGANA NA COSTA YA ISANZU TOKA KAHAMA

No comments

Powered by Blogger.