-->

Header Ads

WAINGEREZA ROHO JUU KWA LEICESTER LEO.


Klabu ya Leicester city ya nchini Uingereza leo inatupa karata yake nyingine katika ligi ya mabingwa Ulaya  ambapo huenda ikawa ndio tiketi yao kuyaaga mashindano hayo pale itakaposhuka katika uwanja wake wa nyumbani kuwa karibisha Atletico Madrid ambapo katika mchezo wa awali Leicester ilikubari kipigo cha goli 1-0 ugenini na leo kazi nikwao kupindua kipigo ilo kuzidi kuweka rekodi Ulaya.

Mechi hii inabeba nafasi ya uingeleza kupeleka timu nne kwenye michuano ya Uefa na endapo Leicester atatolewa leo, msimu ujao uingeleza itapeleka timu tatu kwenye ligi ya Uefa kufuatia kufanya vibaya kwa timu uingeleza. Inawezekana nafasi ya kupeleka timu nne ikapewa Italy ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika misimu ya karibuni.

Kwingineko ni pale Mjini Madrid ambapo miamba ya soka mjini humo Rael Madrid watashuka dimbani kuwakaribisha Bayern Munich katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa ulaya ambapo mchezo wa awali uliopigwa pale mjini Munich Bayern alikubali kipigo cha goli 2-1.


No comments

Powered by Blogger.