SOMA "UCHIZI" WA YAYA TOUREπππππ
Mechi za watani wa jadi zina mambo sana. Kibongo bongo timu hulala kwa waganga, zamani kuna timu siku ya mechi zilikuwa zinaruka ukuta zikiamini wamewekewa dawa getini ili wadhoofu na timu pinzani ishinde kilaini.
Kiungo wa Manchester City raia wa Ivory Coast, Yaya Toure naye katoa mpya baada ya kudai angependa kusiwe na refa kwenye mchezo wao na mashetani wekundu Manchester United. Kauli ya Yaya inatokana na mfululizo wa maamuzi mabovu kwenye mechi hasa katika mpambano wao wa nusu fainali dhidi ya Arsenal mwishoni mwa wiki.
Man City wanakutana na mahasimu wao wa jiji Manchester United kwenye mchezo utakaochezwa Alhamisi hii katika uwanja wa City of Manchester kuanzia saa nne kamili usiku.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA
Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments