RIPOTI YA UKAGUZI WA VYETI FEKI HAIJAWAGUSA WAKUU WA MIKOA - MH. ANGELA KAIRUKI
Mheshimiwa Angela Kairuki, Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora (akikabidhi ripoti ya Vyeti kwa Rais Chuo Kikuu Dodoma) amesema "Uhakiki huu haujafanyika kwa viongozi wa Kisiasa ambao wako serikalini kama vile Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao mamlaka ya uteuzi ndio wanajua ufanisi wa kazi zao na pia katika Siasa suala ni kujua kusoma na kuandika."
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments