-->

Header Ads

PEREZ KUMPELEKA JAMES MAN UTD.


Kwa mujibu wa Diario Gol Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez amepanga kumuuza kiungo mshambuliaji James Rodriguez kwa Manchester United.

Perez amekuwa akimuhitaji mlinda mlango wa United David De Gea na anafikiria kumweka James katika dili hilo ili kuwezesha kumpata golikipa huyo Mhispania.

James amekuwa akikosa nafasi klabuni hapo na huenda ikawa nafasi yake nzuri kama atatua United.

No comments

Powered by Blogger.