-->

Header Ads

MANARA APIGWA PINGU MWAKA MZIMA AMFUATA JERRY MURO


 Kamati ya Maadili ya TFF imemsimamisha Mkuu wa Idara ya Habari wa Simba,Haji Manara kutojihusisha na soka kwa miezi 12 na faini ya milioni 9 

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.

Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.

Manara anaungana na rafiki yake Jerry Muro aliyekuwa msemaji wa Yanga ambaye na yeye yupo kifungoni kutojihusisha na soka kufuatia kufunguwa na TFF









TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA.

No comments

Powered by Blogger.