-->

Header Ads

LEO BUNGENI MH. HUSSEIN BASHE NA MR. SUGU WAKIHUSISHA SERIKALI NA MATUKIO YA UTEKAJI NCHINI




MBUNGE WA NZEGA MH. HUSSEIN BASHE NA MH. JOSEPH MBILINYI LEO MJINI WAMELITAKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSITISHA SHUGHULI ZAKE ILI KUZUNGUMZIA HATMA YA MATUKIO YA SINTOFAHAMU YANAYOTOKEA NCHINI KUHUSIANA NA UTEKAJI WA WATU..MH.MBILINYI NAYE AKAJA NA HOJA INAYOUNGA MNKONO SUALA HILO...

NIMEKUWEKEA KIPANDE CHA VIDEO HAPA CHINI..

No comments

Powered by Blogger.