Watu elfu 409 wafariki kwa maradhi ya kuambukiza nchini China
Takriban watu elfu 409 walipoteza maisha mwezi uliopita nchini China kwa ajili ya ongezeko kubwa la maradhi ya kuambukiza .
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na idara ya afya na mpangilio wa uzazi ni kuwa mwezi Februari watu 485,649 walipatikana na maradhi mapya ya kuambukiza na mwishowe waliaga dunia .
Kulingana na ripoti iliyotolewa watu elfu 97 walikuwa waugua maradhi hatari ya UKIMWI,elfu 142 walikuwa na ugonjwa wa kifua Kikuu,61 maradhi yanayotokana na homa ya ndege huku wengine elfu 109 wakifariki na maradhi kama Hepatitis ya A,B,C na E ,Kaswende na kichaa cha mbwa.
Maelezo ya ripoti hiyo yametolewa na kumbukumbu za magonjwa na idadi ya vifo kutoka idara za Hong Kong,Makao na Taiwan.

No comments