-->

Header Ads

TUMEISHAAAA GIGY MONEY Kachora tattoo NYINGINE Kubwa Kwenye KALIO LAKE..


Video model na mtangazaji maarufu Gigy Money ame-Break The Internet Tanzania baada ya kuonyesha tattoo kubwa aliyochora kwenye paja lake, tattoo hio iko nusu kwenye makalio na nusu inafika kwenye paja lake.

Gigy sio mgeni kwenye stori kubwa za mitandao ya kijamii kutokana na kupiga picha akiwa na nguo za ndani tu na mara nyingine hupiga picha bila bra. Ofcoz ndio kazi yake kama model……………






 

No comments

Powered by Blogger.