-->

Header Ads

MBELE: Picha za ajali ya gari aliyoipata mama kijacho Ciara


Rnb staa Ciara amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia 11 March 2017. Ciara anaujauzito wa mtoto wake wa pili na alipata ajali mjini L.A.
Ciara alikuwa akiendesha Mercedes SUV nyeupe na alikuwa akipiga kona kwa kupande wa kushoto na ndipo alipogongwa na gari nyingine aina ya Volvo SUV.
Gari hilo liligonga upande wa abiria na kumuumiza kifua Ciara ila baadae mume wa Cici alisema Mama na mtoto wote wako salama…..
Mume wa Ciara ‘Russell Wilson‘ aliandika twitter  “Momma Wilson & Baby Wilson are feeling great! God is good!


No comments

Powered by Blogger.