DODOMA: Katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amepokelewa Moses Machali Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini kwa Tiketi ya NCCR- Mageuzi. Moses Machali Aidha Said Arfi naye ametangaza kujiunga na CCM na wamepokelewa leo rasmi katika mkutano uliyofanyika mjini Dodoma. VIDEO MKUTANO MKUU WA CCM NEC DODOMA
No comments