-->

Header Ads

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wamataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituocha  Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopokatika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia. 





 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo
(pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina
Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia.



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere katika kituo hicho
cha Amani na Usalama.


No comments

Powered by Blogger.