Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA,
leo limetangaza majina ya wachezaji 50 wanaowania kuingia kwenye kikosi
cha wachezaji 11 bora mwaka 2017.
Kikosi
hicho kimejumuisha wachezaji kutoka vilabu mbalimbali ambao wamefanya
vizuri mwaka huu. Waliotajwa ni makipa Gianluigi Buffon, David De Gea,
Keylor Navas, Manuel Neuer na Jan Oblak.
Walinzi waliotajwa ni Dan Alves, Bonucci, Carvajal, Chiellini, Camil
Glik, Goddin, Kimmich, Marcelo, Mendy, Meunier, Pique, Ramos, Sanchez,
Sandro na Valencia.
Kwa upande wa viungo ni Delle Alli, Ansensio, Casemiro, De Bruyne,
Eriksen, Fabinho, Hazard, Iniesta, Isco, Kroos, Modric, Mkitharyan,
Pyanic, Pogba, na Saul Niguez.
Wengine ni washambuliaji Karim Benzema, Aubamayeng, Aguero, Cavani,
Dybala, Falcao, Griezman, Kane, Lewandowski, Mbappe, Mertenes, Messi,
Neymar, Ronaldo na Suarez.
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
No comments