-->

Header Ads

TAYLOR SWIFT ATOA ORODHA YA NYIMBO ZA KWENYE ALBAMU YAKE.

Akiwa anatarajiwa kuachia albamu yake tarehe 10 mwezi huu wa 11 inayokwenda kwa jina la "REPUTATION" msanii wa miondoko ya pop ,Taylor swift ametoa orodha ya nyimbo zinazo tarajiwa kuwepo ndani ya albamu hio.

Albamu hio ambayo imekua gumzo kwa mashabiki huku ikisubiriwa kwa hamu imewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Ed sheeran pamoja na Future.

Nyimbo hizo ni,

End game (ft future & ed sheeran).

I did something bad.

Don't blame me.

Delicate.

Look what you made me do.

So it goes.

Gorgeous.

Getway car.

King of my heart.

Dancing with our hands tied.

Dress.

This is why we can't have nice things.

Call it what you want.

New year's day.

No comments

Powered by Blogger.