Anna Tibaijuka atangaza kujitoa kwenye Ubunge

Mheshimiwa Prof. Tibaijuka alitangaza uamuzi huo walipokuwa wakizungumzia miaka miwili ya Rais John Pombe Magufuli tangu aingie madarakani ambaye alikuwa kwenye ziara mkoani Kagera.
Mama Tibaijuka amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2010, na alishawahi kukumbwa na kashfa kubwa ya pesa za Escrow.
Hivi karibuni Mbunge wa SIngida Kaskazini Lazaro Nyalandu pia ametangaja kujiuzulu ubunge wake na kuomba kujiunga na chama cha CHADEMA.
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
No comments