Sheria ya kuzuia wanaume kuoa wake wengi kutangazwa Nigeria

Spika wa bunge katika jimbo la Kano lililopo kaskazini mwa Nigeria , amesema kwa umma utaombwa kutoa maoni yake kuhusu mswada wenye lengo la kuwazuia wanaume maskini kuoa zaidi ya mke mmoja.
![]() |
Muhammad Sanusi II |
Pendekezo hilo lenye utata lilitolewa na Muhammad Sanusi II, ambaye ni Emir wa Kano, kuhakisha kuwa wanaume wana familia ambazo wanaweza kuzitunza.
No comments