NEW VIDEO ALERT : HARMONIZE FT KOREDE BELLO SHULALA
Burudani nyingine imeletwa kwenu leo Jumapili 15 octoba kutoka kwa star wa WCB anaewakilisha vyema Tanzania Rajabu Abdul "HARMONIZE" na star wa nigeria "KOREDE BELLO" kwa pamoja wametuletea official music Video release ya hit song yao mpya kabisa kwa jina la SHULALA.
Kama utakumbuka utagundua watu na mashabiki wa bongo fleva tanzania walikuwa na hamu kubwa sana kupata kusikiliza na kutazama kichupa hiki ambacho HARMONIZE na UONGOZI WA WCB walitupa habari kuhusu wimbo huo.. korede bello kwenye SHULALA pia ameimba lugha ya KISWAHILI vizuri sana na kuwavutia wengi sana..
Itazame hapa leo..

akisitv.com imekuletea utamu wote hapa...
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments