Diwani Aliyerekodi sauti Akishawishiwa Kujiuzulu Udiwani Arusha Ajitokeza HADHARANI!!!
Diwani wa kata ya Mbuguni wilayani Arumeru mkoani Arusha, Ahimidiwe Rico aliyerekodi sauti akishawishiwa ajiuzulu nafasi yake kulia akitoka nje ya ofisi za Takukuru mkoani Arusha mara baada ya kuhojiwa leo pembeni yake ni diwani aliyemsindikiza wa kata ya Nkoanenkoli, Wilson Nanyaro,picha na Moses Mashalla
Baada ya kuhojiwa waliokuwa madiwani hawakutaka kuzungumza chochote wakisema wanaacha uchunguzi uendelee.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments