Davido Anusurika Kwenye Kesi ya Mauaji Ya Tagbo
![]() |
| DAVIDO akiwa na Rafiki yake bwana Tagbo Umeike |
Davido alikuwa akituhumiwa kufanya mauaji ya rafiki yake Tagbo Umeike wiki kadhaa zilizopita, hali iliyokuwa ikimuweka pabaya msanii huyo na mashabiki zake. Kwa mujibu wa mwanasheria wake Mr. Bobo F. Ajudua, ameeleza kuwa mteja wake ameachiwa na polisi kwa tuhuma za mauaji na sasa ataendelea na kazi zake kama kawaida.
“We’ve been to Panti and my client has given a statement there too. It’s clear from all the investigation, evidence, and statements given so far that David was not at any point with the deceased after he left him alive at Shisha room and as such he’s been released to go about his business,” amesmea Ajudua.
![]() |
| Mr. Bobo F. Ajudua mwanasheria wa DAVIDO |
Akaongeza “Of course if called on to give any more information he would gladly. But in truth, he only knew so much about the night and has reproduced this time and time again. They’ve also observed the consistency between his statements and those of all the others interviewed, as a result he’s been allowed to go.”
Vilevile mwanasheria huyo akaongeza kuwa mteja wake amekuwa akituhumiwa makosa mengi katika media na amewasamehe wote waliokuwa wakimtuhumu na wao wataendelea na amaisha yao.
Mwanamitindo Caroline Danjuma, ambaye alikuwa mpenzi wa Tagbo alimtuhumu msanii huyo na kumtaka aseme ukweli kwani yeye ndiye mtu aliyekuwa naye usiku katika sherehe ambapo walikuwa wote wakivuta
![]() |
| Caroline Danjuma MPENZI wake TAGBO |
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu




No comments