-->

Header Ads

Trump: Matamshi na vitendo vya Korea Kaskazini ni hatari kwa Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump amejibu hatua ya Korea Kaskazini ya kulifanyia jaribio bomu la nyuklia.

"Matamshi ya nchi hiyo na vitendo vyake vinandelea kuwa vyenye hatari kubwa kwa Marekani," Trump aliandika kwenye mtandao wa twitter.

Trump: Korea Kaskazini watakuwa kwenye 'shida kubwa'Trump: Korea Kaskazini imeanza kutuheshimuTrump: tutaidhibiti Korea Kaskazini

Wakati huo huo watu kwenye mji mkuu wa Korea Kaskazini Pyongyang, wanaendelea kufahamu hatua ya nchi yao ya kulifanyia jaribio bomu la nyuklia.

Watu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo

No comments

Powered by Blogger.