Martin Kadinda amtaja mpenzi wake
Mbunifu wa mavazi wa hapa bongo ambaye
ameshawahi kujinyakulia tuzo mbali mbali kwa ubora wa kazi zake, kwa
mara ya kwanza ameweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi ambayo yalikuwa
siri kwa kipindi kirefu.
Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Martin Kadinda amesema kwa sasa yuko kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye ni mjasiriamali mkubwa na kuahidi wadau wake muda muafaka ukifika watarajie kumfahamu kwa sura.

JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments