TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) yateua wabunge nane CUF
Tume ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi
wa wabunge nane wa viti Maalum kupitia (CUF) baada ya Tume hiyo kupokea
barua kutoka kwa spika wa Bunge Ndugai ambaye alisema kuna nafasi za
wazi nane katika bunge hilo kufuatia wabunge hao kuvuliwa uanachama
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments