-->

Header Ads

Shule 10 zilizofanya vibaya matokeo ya kidato cha sita 2017


Baraza la mitihani tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha sita,  leo Jumamosi, Julai 15 kwa upande mwingine limetangaza shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.

Shule hizo ni

  1. Kiembesamaki Unguja,
  2. Hagafilo (Njombe),
  3. Chasasa (Pemba),
  4. Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na
  5. Ben Bella (Unguja).
  6. Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya),
  7. Mlima Mbeya(Mbeya)
  8. Shule ya Sekondari ya Mbeya (Mbeya), 
  9. Al-Ihsan Girls (Unguja)
  10. na St Vicent(Tabora).

No comments

Powered by Blogger.