-->

Header Ads

RASMI MATIC ATUA MAN UTD.. MORINHO ASEMA USAJILI BADO

Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea Nemanja Matic amekamilisha uhamisho wake kuelekea Manchester United ambapo alikuwa anawidwa kwa mda mrefu.

Matic amewagharimu Manchester kiasi cha € 50 milioni kukamilisha dili hilo huku akipewa jezi namba 31 ambayo ilikuwa inavaliwa na Bastian Shwainteiger ambaye ametimkia kukipiga ligi kuu marekani.

Kuja kwa Matic kumefungua njia kwa Malouin Fellaini kuondoka ambapo anakamilisha dili la kukipiga katika klabu ya Galatasaray ya nchin Uturuki.

Kocha wa Manchester, Jose Morinho bado yupo kitika usajili wa kukijenga kikosi chake huku akihususishwa kumfukuzia winga wa Inter Milan, Persic

No comments

Powered by Blogger.