-->

Header Ads

Polisi wamng'ang'ania Lissu, Mawakili wake wazuiwa Kumuona

Wakili wa Rais wa Chama Cha Wanasheria Nchini Tundu Lissu,  Fatma Karume amesema kuwa Jeshi la Polisi halipo tayari kumwachia kwa Dhamana Mbunge huyo wa Singida Mashariki.
Lissu alikamatwa Jana kwenye Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akirejea Kutoka Mjini Dodoma.
Tazama Hapa Full Video.

No comments

Powered by Blogger.