MSUVA ATAMBULISHWA RASMI MOROCCO, ALAMBA DILI NONO
Klabu ya DH Jadidah kutoka Morocco imemtambulisha rasmi mchezaji Saimon Msuva ambaye ametokea klabu ya Yanga ya nchini Tanzania, Msuva amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 3.
Ikumbukwe Msuva alikataa mshahara wa milioni 9 kwa mwezi ili aweze kujiunga na timu hiyo, hivyo mabosi waarabu wa timu hiyo walizama mfukoni na kuweka kiasi cha maana ambacho kimemshawishi Msuva kutua timu hiyo.
Huku akivuna zaadi ya milioni 100 katika dili la uhamisho wake huku klabu ya Yanga nayo yapiga mkwanja wa kutosha kukamilisha usajili huo.
No comments