KIM KARDASHIAN AFURAHISHWA NA JAY Z KWA ALBAMU YAKE MPYA YA 4:44
Ingawa albamu hiyo ya Jay z ina mistari ambayo imemshambulia mume wa Kim kardashian ambaye ni Kanye West,lakini Kim ameonesha kuvutiwa na albamu hiyo ambayo inanyimbo ambazo zimeongelea maisha ya Jay z na mkewe Beyonce na jinsi walivyo zishinda changamoto za ndoa.
Jay z ambaye kwenye hio album ameongelea jinsi alivyokutwa na tuhuma za kuwa na mahusiano ya pembeni na jinsi walivyo jitahidi kuokoa ndoa yao na Beyonce.Mistari hiyo imemfanya Kim kuwapa hongera kwa kushinda changamoto hizo na kusema kuwa amevutiwa sana na albamu na nyimbo hizo lakini pia amependa jinsi Beyonce na Jay z wanavyo jitahidi kudumu kwenye ndoa yao.
No comments