KIKOSI KAMILI CHA SIMBA MSIMU UJAO HIKI HAPA.. NIYONZIMA NDANI.
Kikosi Kamili cha Simba
MAKIPA
1. Aishi Manula
2. Said Mohamed
3. Eliasi Mseja
MABEKI WA PEMBENI
1. Shomari Kapombe
2. Ally Shomari
3. Mohamed Hussein
4. Jamal Mwambeleko
MABEKI WA KATI
1. Salum Mbonde
2. Erasto Nyoni
3. Yusufu Mlipili
4. Juko Mursheed
5. Method Mwanjali
VIUNGO
1. James Kotei
2. Jonas Mkude
3. Said Ndemla
4. Mzamiru Yasin
5. Mohamed Ibrahim
6. Mwinyi Kazimoto
7. Haruna Niyonzima
WASHAMBULIAJI
1. John Bocco
2. Shiza Kichuya
3. Emanuel Okwi
4. Laudit Mavugo
5. Jamal Mnyate
6. Juma Luizio
WALIOACHWA
1. Ibrahim Ajibu
2. Abdi Banda
3. Pastor Athanas-Mkopo
4. Besala Bokungu
5. Fredrick Blagnon
6. Denis Richard - Mkopo
7. Haji Ugando
8. Novati Lufunga
9. Manyika Peter - Mkopo
10. Daniel Agyei
NB.Manula na Niyonzima bado wanamkataba na vilabu vyao kwahiyo watatangazwa muda wowote na Kuna Mchezaji atasajiliwa kutokea Ghana
Kikosi kamili kitatangazwa siku ya Simba day kwa mujibu wa viongozi wa juu akiwamo mchezaji Haruna Niyonzima ambao usajili wake unasubiliwa kwa hamu na mashabiki wa Msimbazi.