-->

Header Ads

JENNIFER LOPEZ AMWAGA SIFA KWA MPENZI WAKE MPYA.

Staa wa muziki kutoka nchini marekani Jennifer Lopez maarufu kama J.lo ambaye kwa miezi kadhaa amekuwa kwenye dimbwi zito la mapenzi na mwana michezo Alex Rodriguez amwaga sifa kibao kwa mpenzi wake huyo ambaye ana miaka 41 huku J lo akiwa na miaka 47.

Akiongea na chombo kimoja cha habari nchini Marekani J.lo alisema amekua na amani na furaha tangu aanze mahusiano na Alex.J.lo ambaye ametamba na kibao chake cha "I aint your mama" alisema tofauti na vijana wengi aliwahi kuwa na mahusiano nao kwa sasa anafuraha na amani kwani Alex ni mtu mwenye moyo wa upendo na huruma pia."He is so loving father,he is generous human being with his familly,his friends and with me" J.lo alisema.

Powered by Blogger.