-->

Header Ads

HII NDIYO SABABU YA ANGELINA JOLIE KUHAMIA KARIBU NA NYUMBA YA MUME WAKE WA ZAMANI BRAD PITT

Baada ya Angelina Jolie na Brad Pitt kuachana hatimaye Angelina Jolie amehamia kwenye nyumba ya kifahari mpya ambayo haipo mbali na nyumba ya mume wake wa zamani Brad Pitt.

Maamuzi hayo ya Angelina kuhamia karibu na Brad Pitt yamesababishwa na watoto wa wazazi hao ambao walikuwa hawana furaha kukaa mbali na baba yao .Lakini kwa sasa watoto hao wameonesha kuwa na furaha kwa kuhamia nyumba iliyo karibu na baba yao Brad Pitt.

Nyumba hiyo ya kifahari ambayo Angelina amenunua kwa dola za kimarekani milioni 24 ambayo inavyumba 6 na vyoo 10 ,pamoja  sehemu mbali mbali za starehe zilizo ndani ya nyumba.

Brad Pitt na Angelina Jolie wanajitahidi sana kuwatunza watoto wao ambao wapo 6 na kujitahidi kuwafanya wawe na furaha ingawa  ndoa yao imevunjika.

No comments

Powered by Blogger.