BREAKING NEWS: MAMA AKE ZARI WA DIAMOND AFARIKI DUNIA.. ZARI ASEMA NENO..
Ni Saa chache tu zimepita tangu familia ya zarina hassan aka zari then boss lady kutangaza za kufariki kwa mama wa familia hiyo, ambaye alikua kwenye uangalizi wa kiafya hospitali Nchini Uganda, baada ya kuugua muda mrefu
Zari amegunguka mengi kwa majonzi kufuatia tukio hilo @zarithebosslady - It's with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely mother who passed on this morning. May her soul rest in peace, May Allah forgive you your sins and grant you Jana.
You will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given the best from God as our mother. We appreciate all you did for us. We will forever cherish you Mama.
Sleep well😢#akisitv
No comments