Baada ya saa chache tu toka Quick Rocka na OMG kuachia wimbo wao mpya lakini TID mkali pia ambaye ndio mmiliki wa Kiitikio kilichotumika kwa Watasema kupitia IG ajapendezwa na kudai Million 20 amba anampereka police star huyo.
TID Alipost maneno yaha Instagramu “
“ Wat is this….?! Hivi ndio mnapata Magari yenu!? @quickrocka & @omgtanzania we need to TALK #Watasema >>Naomba tukutane Central Police huwezi kutumia Haki zangu hivihivi Kabla sijafanya kitu kibaya nahitaji million 20 compensation
…
This song ni Awards mbili Za Kisima Music Awards 2005 in Kenya u can’t just Steal it, Unalala Ndani Leo
kama ujawai itizama hiyo hii
hapa ya TID

No comments