-->

Header Ads

BAADA YA MUNISHI KUONDOKA NAE ALLY MUSTAPHA "BARTEZ" ATIMKA YANGA.

Baada ya Deogratius Munish "DIDA' kutimka Yanga sasa ni zamu ya gorikipa mwezanke Ally Mustapha " Bartez" ambaye ametua katika klabu ya Singida United.

Bartez ambaye alipoteza namba mbele ya Dida na Ben Kakolanya ameamua kujiunga na kocha wake wa zamani Hans Van Pruijm ambaye alikuwa anamtumia katika michuano mbali mbali kabla ya kutimkia Singida.

Ikumbukwe naye Dida ashafanya majalibio katika klabu za Afrika kusini na anasubiri muda wake wa kwenda kuripoti katika makazi yake mapya.

Benchi mpya la Yanga la makipa litaongozwa na mcameruni Rostard Youth ambaye alikuwa anaidakia African Lyon msimu uliopita huku akisaidiwa na Ben Kakolanya.

Vile vile Yanga wapo mbioni kukamilisha dili la golikipa wa Serengeti boys ambaye alionyesha kiwango cha juu katika michuano ya Under 20 nchin Gabon.

No comments

Powered by Blogger.