-->

Header Ads

Aliyetobolewa macho: Mke wng anaweza hata kumuingiza mwanaume mwingine chumbani kwangu kwa sababu sioni...


SAID ANAFUNGUKA MAZITO. "Mke wangu amenifanyia vitu vingi vya ajabu anapigiwa simu na wanaume na hao wanaume wananitukana nilimweleza baba yake akaniambia nimpe talaka au nimuoe mwanamke mwingine, amekuwa mlevi anaweza hata kumuingiza mwanaume mwingine chumbani kwangu kwa sababu sioni kwakweli nilishindwa kuvumilia hasa kutokana na hali yangu." #SaidMrisho #Live #LeoTena

No comments

Powered by Blogger.