Utajuaje iwapo mgonjwa wako ana karibia kufa?
Utajuaje iwapo mgonjwa wako ana karibia kufa
●Mgonjwa anashindwa kujitambua...anapoamshwa anaitika kwa taabu
●Mgonjwa hawezi kula chakula chochote isopokuwa vyakula vya majimaji tu
●Mgonjwa anashindwa kumeza dawa
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments