TANZIA; ALLY YANGA AFARIKI DUNIA LEO HII.
Mwanachama Maarufu wa Yanga
Ally Yanga amefariki jioni ya leo kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge huko mkoani Dodoma
Ally Yanga ni shabiki na mwanachama wa Yanga aliyejipatia umaarufu kwa kuhudhulia mechi nyingi za Yanga huku akishangilia kwa stairi pekee ya kujipaka majivu usoni.
Innah Lilah wainah illah rajiuun.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
No comments