-->

Header Ads

SABABU ZA JPM KUMTAKA BOSS WA DAWASCO KUONDOKA MADARAKANI, HIZI HAPA..



Rais John Magufuli amemtaka Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasa) Archado Mtalemwa ajiandae kustaafu kutokana na mapungufu mengi ambayo Rais amesema ameyaona katika mamlaka hiyo.

Rais ameyasema hayo leo(Jumatano) akiwa katika ziara yake ya siku tatu mkoani Pwani na alitumia fursa hiyo kuzungumzia miradi ya maji na ulipaji wa maji kwa taasisi za serikali.

amesema na kuongeza;

“Pamoja na kazi zako nzuri, it’s your time to go.”

 Amezungumzia kero mbalimbali za maji na kusema kuna upotevu mkubwa wa maji.

No comments

Powered by Blogger.