-->

Header Ads

RASMI OKWI ATUA SIMBA, SASA KUFUNGA KAZI KWA DONARD NGOMA.

Baada ya mazungumzu ya mda mrefu, Klabu ya Simba na Emmanuel Okwi wamefikia makubaliano na kumalizana rasmi.

Okwi ambaye amewahi kuitumikia klabu hiyo kabla ya kutimkia Denmark msimu 2012/2013 na sasa amerejea tena katika Klabu ya Simba ambapo ameichezea kwa mafanikio.

Dau la Okwi halijawekwa wazi ingawa mwanzo aligoma kusaini kwa kushidwa kufikiana makubaliano na klabu hiyo. Hivyo Okwi atakuwa amepokea kiasi kikubwa cha pesa alichokuwa anakihitaji na kuanguka saini ya kuitumikia Simba kwa msimu wa miaka miwili.

Inasemaka mfadhiri wa Simba, Mohammed Dewji alikuwa nchini China kwa kazi zake binafsi na jumamosi alilejea nchini kusimamia dili la Okwi ambalo lilikuwa linasuasua na sasa nguvu zimehamishiwa kwa mchezaji wa zamani wa Yanga, Dornad Ngoma ambaye anaweza kutua nchini siku yeyote kukaaa meza moja na Mo kwa mazungumzo zaidi.

No comments

Powered by Blogger.