-->

Header Ads

POLISI YATHIBITISHA KUTEKETEA KWA MOTO BASI MKOANI MARA..






Mchana wa leo June 10, 2017 kuliripotiwa ajali ya Basi la Batco ambalo linafanya safari zake kati ya Mwanza na Tarime ambapo liliteketea kwa moto kwenye Daraja la Mto Kirumi likitokea Tarime.

Kamanda wa Polisi Mara Jafari Mohamed  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

HII NI SAUTI YA KAMANDA JAFARI MOHAMED

JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.