PICHA: KINACHOENDELEA KWENYE SHUGHULI YA KUUAGA MWILI WA MZEE NDESAMBURO
Baada ya kuripotiwa kifo cha Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo May 31, 2017…zilizotufikia leo June 5, 2017 ni shughuli za kumuaga mwanasiasa huyo mkongwe.
AKISITV.COM picha 5 kutoka Uwanja wa Majengo ambako shughuli za kuuaga mwili wa Ndesamburo zitafanyika leo June 5, 2017.





No comments