NAPE AWAKINGIA KIFUA WAPINZANI SAKATA LA MCHANGA
Hii ni vita yetu sote, Tushikamane, hata kama wana hoja, wajibiwe kwa hioja sio matusi. Ameshauri Serikali iangalie kwa makini hili swala ili kuondoa Mashaka.
Amempongeza rais Magufuli kwa kuzuia Mchanga.
Amekosoa pia sela za mapato. nasema mipango yote inalenga kubana na kukamua walipa Kodi.

No comments