-->

Header Ads

LWANDAMINA AWAPUNGUZA KINA NGOMA KIKOSINI YANGA.. APATA KIGUGUMIZI KWA ZULU, KUWATEMA HAWA..

Kocha wa klabu ya Yanga amewataja wachezaji ambao hayuko tayari kuendelea nao katika msimu ujao wa ligi kuu baada ya kutokuonyesha ubora wao katika msimu uliopita.

 Katika orodha hiyo Lwandanina amewataja wachezaji kama Mlinzi Oscar Joshua,na Donald Ngoma,huku Mkata umeme Justine Zulu akimuacha bila kuainisha mustakabari wake licha ya kukiri kua kiwango chake na Majeraha kumsumbua.

Hata hivyo kocha huyo amewataja nyota kutoka timu za Zesco na mbeya city ambao ni Meshack Chaila Zesco na Rafael Daud Mbeya city.

No comments

Powered by Blogger.