-->

Header Ads

LULU AJISOGEZA KWA ASLAY, AJA NA HII KALI MPYA


WABONGO hawaishiwi maneno kila yanapotokea mambo kuhusu mastaa, kwa sasa ishu inayotrend kwenye matandao ya kijamii ni kwamba baada ya LULU kupost kuhusu kuvutiwa na kazi za mwanamziki kutoka kundi la yamoto bendi ASLAY ISIHAKA KUPITIA UKURASA WA TWITTER.
kupitia comments, WATU WAMEKUJA JUU NA kuanza kudai kuwahuenda mwigizaji huyo asnajiweka karibu kwa kinda huyo wa bongo fleva....

Kupitia mtandao wa Twitter wa Mwandada huyo ameonesha mapenzi ya wazi wazi ya ushabiki wake kwa Mwanamuzili Aslay kwa kuandika "Aslay ni Mfalme wangu wa Bongo Fleva🙌🏿🙌🏿 Ni Moto🔥Anaunguza🔥🔥🔥🔥🔥🔥" Lulu amezitaja nyimbo 3 za Aslay alizoachia hivi karibuni na kusema zote ni kali.


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.