LIVE: TAZAMA REPORT YA PILI YA MCHANGA WA MADINI HII HAPA

Hii hapa Report ya Pili ya Mchanga wa Madini ikiwasilishwa baada ya Ripoti ya kwanza kuwasilishwa kwa Rais Magufuli, Kamati ya Pili nayo imekamilisha report yake iliyosubiriwa na hamu kubwa na Wanachi kila kona.
Report hii ya pili imehusisha wachumi na Wanasheria.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments